JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Mfano ya wakati barakoa inahitajika kuvaliwa:
Unapotembelea duka, duka la dawa, Daktari au Hospitali yoyote
Katika mkusanyiko, unapokutana pamoja na marafiki au familia ambao hawaishi nawe
Katika tukio lolote la umma ndani au nje ya jengo, kama vile soko au mkusanyiko
Unaposafiri kwenye basi, teksi au gari lenye watu wengi
Unapotembea kwenye barabara au njia iliyo na watu wengi
Upvote
0