INAUZWA Jiko Koa kwa elfu 46 tu!

Jiko Koa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2023
Posts
248
Reaction score
825
Haya ni majiko ya kisasa yenye material maalum ya kuzuia joto lisipotee hivyo kukuwezesha kutumia mkaa kidogo tu kuivisha vyakula.

Unapewa pamoja na warrant ya mwaka mmoja. Kwa mkoa Morogoro mzigo unakufikia BURE, mikoa mingine tunatuma kwa njia ya basi.



 
Roho inauma nilinunua 120 😅
Ndiyo Bei yake hiyo. Lakini sisi tunauza 46,000 tu, kwa sababu kampuni yetu imefadhiliwa kwa kiasi kiasi kidogo na shirika la Kimataifa linaloshughulika na utunzaji wa mazingira.
 
Kwa Morogoro mzigo unakufikia BURE, mikoa mingine tunatuma kwa basi
 
Ndiyo Bei yake hiyo. Lakini sisi tunauza 46,000 tu, kwa sababu kampuni yetu imefadhiliwa kwa kiasi kiasi kidogo na shirika la Kimataifa linaloshughulika na utunzaji wa mazingira.
Mnapatikana wapi?
 
Nilinunia tujijenge wakat zinatoka laki na nusu. Ila haya ya sasa ni tofauti na yale ya manzoni. .
 
Watu wana rohombaya sana! Si umakumbuka hata zile behewa mtumba tuliuziwa moja 2, 500,000,000?
Inasikitisha kwakweli hamna kitu inaumwa kama kitu kuwa overpriced afu hakuna tofauti ya Quality & Quantity na wala haikuwa charity event kusema kuwa kuna msaada nimetoa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…