jiko la gas linauzwa

jiko la gas linauzwa

mila

Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
9
Reaction score
0
jiko la gas lenye plate mbili na system ya kutolea hewa nje ni set,linauzwa.kwa watu ambao wapo interested piga 0659 158365, au email abapamas@gmail.com
bei ni laki 5 T shilings.
2011.1.16_10.40.41_5161.jpg

2011.1.15_15.17.32_1673.jpg
 
najaribu kutafuta picha cause ni jipya halijafunguliwa kabisa.nikipata picha ntaweka.
 
maana jiko gas na mtungi wake haifiki bei hiyo, hilo ni jiko gani la laki 5 mkuu, weka picha tulione
 
Back
Top Bottom