Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.

Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji!

Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
img_20241126_124654-jpg.3162046
 
Shida hazina adabu..
Ingia mtaani kwako mkuu katangaze biashara chap..hapa wengine watatamani lakini wapo mbali
 
Ahsante,, nayo Ni pesa! Lakini ujue Nina dharura inayohitaji mtu wa kunisaidia( nikaona Bora niuZe hivi vitu badala ya kuomba msaada...thamani ya hivyo vitu na pesa unayonipa nadhani binasfi unajisikia moyoni kuwa siyo sawa! Na hapa natafuta msaada ,naomba unielewe ndugu yangu( dharura Ni kwa yeyote yaweZa kumkuta.. natanguliza shukrani🙏
 
Ahsat
Shida hazina adabu..
Ingia mtaani kwako mkuu katangaze biashara chap..hapa wengine watatamani lakini wapo mbal

Shida hazina adabu..
Ingia mtaani kwako mkuu katangaze biashara chap..hapa wengine watatamani lakini wapo mbali
Ahsante kwqa USHAURI, nimejaribu mtaani naona kama no body is interested naona Bora nijaribu na humu wakati huo naendelea kupambana.
 
Ahsat

Ahsante kwqa USHAURI, nimejaribu mtaani naona kama no body is interested naona Bora nijaribu na humu wakati huo naendelea kupambana.
Pole sana kaka..hapo mtaani kwako angalia kama Kuna zile ofisi za mikopo ya faster nenda..
Au kama Kuna mtu mashuhuri hapo mtaani kwako nenda kamface tatizo lako anaweza kukuelewa haraka na ukaweka dhamana zako hizo.
 
Back
Top Bottom