Habari wana-JF,
Je, umechoka kuchelewa kupika kwa sababu gas imeisha ghafla au umeme umekatika katikati ya maandalizi? Suluhisho limefika!
Tunakuletea Jiko la Kisasa (Built-in/Table top) linalounganisha nguvu mbili kwa pamoja:
• Plate 2 za Gas: Kwa haraka na ufanisi wa hali ya juu.
• Plate 2 za Umeme: Kwa utulivu na usalama zaidi unapopika.
Kwanini unahitaji Jiko hili?
1. Uhakika wa Kupika: Umeme ukikatika, unawasha gas. Gas ikiisha, unatumia umeme.
2. Muonekano wa Kifahari: Linapendezesha jiko lako na kuleta muonekano wa kisasa.
3. Imara na Rahisi Kusafisha: Limetengenezwa kwa Stainless Steel au Tempered Glass (kulingana na chaguo lako).
4. Usalama (Safety): Lina mifumo ya kisasa kuzuia uvujaji wa gas.
Bei: Tsh 150,000
Mahali: Kariakoo, Dar es Salaam
Usafiri: tunatoa delivery na Tunatuma mikoani kote
Wasiliana nasi sasa hivi:
📞 Call/WhatsApp: 0741159671
Wahi lako sasa, ofa ni ya muda mrefu!