jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,089 Reaction score 424 Jun 16, 2013 #1 habarin ndugu zangu,samahan nlikua naulizia gharama ya jiko dogo la kupikia mkate na hilo jiko dogo linaweza kupika mikate mingapi yenye ujazo wa nusu kilo kwa raundi moja? Ntashukuru sana kwa msaada
habarin ndugu zangu,samahan nlikua naulizia gharama ya jiko dogo la kupikia mkate na hilo jiko dogo linaweza kupika mikate mingapi yenye ujazo wa nusu kilo kwa raundi moja? Ntashukuru sana kwa msaada