Mr Sir1 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,749 Reaction score 7,945 May 24, 2021 #1 Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/ Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/ Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 May 24, 2021 #2 Chukua 150k boss
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 May 24, 2021 #3 wajingawatu said: Chukua 150k boss Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa
wajingawatu said: Chukua 150k boss Click to expand... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 May 24, 2021 #4 usser said: [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa Click to expand... Jiwe aliondoka na pesa yote, hivyo tunasaidiana boss
usser said: [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa Click to expand... Jiwe aliondoka na pesa yote, hivyo tunasaidiana boss
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 May 24, 2021 #5 wajingawatu said: Jiwe aliondoka na pesa yote, hivyo tunasaidiana boss Click to expand... Kwakweli
je parle JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2,022 Reaction score 3,919 May 24, 2021 #6 Mbona unauza bei km jiko jipya
I Input Senior Member Joined Sep 18, 2018 Posts 107 Reaction score 101 May 24, 2021 #7 je parle said: Mbona unauza bei km jiko jipya Click to expand... Hapo sasa! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
je parle said: Mbona unauza bei km jiko jipya Click to expand... Hapo sasa! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]