Jiko linalookoa mkaa kwa 80%

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
Kwanini utumie jiko hili la mkaa kidogo

1. Jiko la kupendeza kwenye nyumba yako limeundwa katika umbo la kupendeza na malighafi zilizounda jiko ni za mithiri ya silva hivyo linakupa unadhifu.

2. Linatumia mkaa kidogo mno, linapunguza matumizi ya mkaa kwa zaidi ya asilimia 80.

3. Halipati joto kwa nje, lina material ambayo inakushanya joto katika eneo ambalo sufuria itakaa tu, hivyo haliongezi joto magetoni.

4. Sababu ni nyingi sana ila sababu kubwa zaidi ni kwamba jiko linauzwa na rafiki yako Comrade Ally Maftah, bei ni poa sana na popote utatumiwa baada tu ya kulipia.

Mawasiliano

0762212623

0785670227

0768366911

info@camstore.co.tz
camstoretz@gmail.com
allymaftah@camstore.co.tz
allyrmaftah@gmail.com

NB: Ukituma email CC email addresses zote.

 
Umeme mmeamua kutuhujumu sasa mnatuuzia majiko,ccm mnalaana.
 
Nyinyi makada wa ccm kila kitu mnataka kuleta siasa. Sasa hiyo bei poa ndiyo shilingi ngapi?
 
400, 000 jiko tu? Mbona unauza bei sana?
 
Tusisahau kuhamasisha upandaji wa miti kukabiliana na uharibifu wa mazingira ambao hivi sasa unashika kasi.

Tufanye kama Breweries na Sigara pamoja na ku promote pombe na sigara lakini wanatoa hamasa nyingine pembeni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…