JARIBU KWENDA WIZARA YA SAYANSI NA TECHINOLOJIA wanaweza kuwa na information za huyu mtengeneza haya majiko, kuna kipindi nilionana nae Arusha kwenye maonyesho na alinipa Business Card yake ila nisha ipoteza, na alisema ana pata sapaoti kutoka hiyo WIZARA so ukiwacheki huko wanaweza kukupa information za kumhusu huyu mzee, make walisha wahi hata kumtunuku CHETI