INAUZWA Jiko plate nne la gas na umeme

INAUZWA Jiko plate nne la gas na umeme

nimeelewa kwanini kuna wengi wanaamini jf ni kwaajili ya wakazi wa dar. hata sisi wa mikoani ingekuwa rahisi kuagiza hii mali iutokea dar kuja huku ujiji. sasa hapa ukipiga hesabu za nauli, mkaguzi wa ubora hadi huku, nafuu nijisalimishe dukani kwa mangi hukuhuku.
 
Back
Top Bottom