Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...
Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...
Kuna na jingine siku hizi linasema
'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah
Masikini Kiswahili...
ni akili yako tu ndio ina tafsiri vibaya wala hakuna tatizo
ni sawa na kutangaza tangazo la juisi ya muwa kwa kusema "kama unataka juisi njoo ukamuliwe mtambo ni wa kisasa"
Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...
Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...
Kuna na jingine siku hizi linasema
'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah
Masikini Kiswahili...
Kumbe huwa mnatazama mapaja.........!Ila zile sketi zikiruka vipaja vyao vizuri mmmh
duh! watu mnawaza mbali duh! me naliona kama tangazo la kawaida tu!Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa unakuta mpo sebuleni watu wa rika tofauti alaf likirushwa tu vijana wadogo wanakuwa wanarudia hiyo sentensi huku wakicheka...
Sometimes mtu unauchuna lakini kimoyomoyo uanaona aibu...
Kuna na jingine siku hizi linasema
'Konga nyoyo.., twanga kote kote na zantel' dah
Masikini Kiswahili...