INAUZWA Jikokoa linauzwa

INAUZWA Jikokoa linauzwa

baba glory

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
292
Reaction score
213
Habari wakuu,
Nauza majiko ya kisasa yanayotumia mkaa kidogo kutoka kampuni ya burnstoves.
Yapo matatu na kila moja nauza Tshs.100,000/= kama una pungufu unaongea.

Nipo Dar es Salaam,

Namba yangu 0787 745 005.

Jikokoa_G3_Open.png
 
Jamani wadau mnaotumia mkaa nunueni majiko haya yanatumia mkaa na yanadumu, langu lilikuwa na warrant ya miaka 2 imeisha na bado jiko ni jipya na linadunda tu.
 
Unaweza kubandika sufuria kubwa la maji 10 liters kwa mkaa Mara moja yakachemka ukaoga
 
Back
Top Bottom