Habari wakuu,
Nauza majiko ya kisasa yanayotumia mkaa kidogo kutoka kampuni ya burnstoves.
Yapo matatu na kila moja nauza Tshs.100,000/= kama una pungufu unaongea.
Jamani wadau mnaotumia mkaa nunueni majiko haya yanatumia mkaa na yanadumu, langu lilikuwa na warrant ya miaka 2 imeisha na bado jiko ni jipya na linadunda tu.