Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Mzizi Mkavu
Unanitowa madenda hapa kwa ninavyopenda bamia hasa la kukaanga,
Yuko wapi mjukuu wangu Farkhina anipike kesho kwa ugali wa muhogo?
na meno yangu mawili yaliyobaki
Mie najua hiyo jina okra tu...
Alafu nimeskia biringani ndio wanaume hawali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ukila sana bamia hata kibolo chako kitakua kama bamia!
Ukila sana bamia hata kibolo chako kitakua kama bamia!
Mkuu napenda sana kula okra, tena kwa mapishi yote.
Tena napika mwenyeweeee.
siyo kweli kwa sisi wasukuma ndiyo mboga yetu lakini mbona mzigo yetu ni shida...