Jimama jamani...

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,065
Reaction score
365
Nina miaka 27 na ninatafuta jimama waku do nae na awe mpenzi wangu....nina mwonekano mzuri na ni fundi wa mapenzi....nimeamua hivyo kwa sababu wamama watu wazima wakipenda wana penda kweli na wanayajua mapenzi tofauti na wadada wa siku hizi....so kwa yoyote aliye tayari au anaeweza kunisaidia kwa namna yoyote ile nawasilisha
 
mhh tutolee uzushi wako hapa....k zimetepweta wanatumia mbadala ndo sababu!!!
 
Utakufa wewe hata kodi yako hatujafaidi punguza tamaa majimama yameathirika
 
inaonekana unapenda sana kulelewa na mijimama,
acha uvivu we kijana tafuta mtu ambae unaendana nae mbona wadada wapo wengi wanaoweza kukaa wakatulia nakushauri utafute kijana mwenzio kwa mijimama utakufa wewe angalia usije kufa siku ambazo sio zako
 
Teh teh mshkaji inaonesha unapenda sana kulelewa wewe? Angalia na mida yenyewe hii usije ukawa unajiweka chambo kwenye mdomo wa mamba mwenye njaa, we waitaka mijimama waijua lakin?? Achana fikra hzo ambazo mi naziita ni fikra potofu.
 
we tegemezi, mvivu hutaki kufanya kazi, unataka ulelewe na wala sio mapenzi. Afu kama unataka mmama si uanze na hapo kwenu? Namaanisha kabla hujadu na mama wa mtu mwingine anza na wako. Ebo!!!
 
Potelea mbali cjali maneno yenu wabanaji ebo mi cjali yote msemayo hata kama yana ukweli ndani yake coz maisha yenyewe haya lisiponiuwa jimama ntakufa na maisha magumu so its all the same....
 
Kuna mkaka ana masters ila kampenda mama mmoja alikuwa anapika pombe na ana watoto wakubwa
kazaa nae watoto na badae wamehalalisha, huwez amini, kwa hiyo wengine hawafati pesa kwa hayo mamaza
wanafata penzi, kwa hiyo nakuasa mkaka wakati unaenda kwa huyo mama,ujue kabisa kuna kukwama on the process
sijui utaiweka sura yako wapi mbele ya mama yako wakati unamtambulisha huyo maza
 
Hali ngumu ya maisha ishampata kijana mwenzetu, anatafuta wa kumlea duh!
 
Halafu haya majimama yanakuagaa matamuuuu and hot lk hel!
Yanakulea na ankufanya superviser wa miladi.what a luck!
Sio kuchunwa na vdosho wa manzese!
Men kipit up! Alaa!
 
Ukizowea kulelewa ukikosana na jimama nini kitazuia kulelewa na jibaba,hebu jishugulishe uza mitumba,kuwa konda usipende vya bure ohooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…