Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Wapendwa habari za siku nyingi,
Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee acha tu. Kweli kuna mimama inajua kulea.
Je nyie hamjambo?

Teh teh teh Fidel bwana..Sasa hii ndio from experienceAu ndo ile street smart lolVya bure vinaumiza kijana Angalia asije akakuunganisha kwa mapusha
kijana unapenda sana kulelewa eeeh,
alikuvisha na nepi kabisa, pampers je?...........................
gud
nataka nkulee ..unasemaje?
pampas ikoje?
njoo unilee mwaya,
na hivi navyopenda kudeka lol.....
Akikua ataacha, msamehe bure!huo ni utoto,mambo yako ya mapenzi na mwana jf,sio vizuri kuyatangaza humu.unasema ili iweje?jaribu kutuheshimu