ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
- Thread starter
-
- #21
Sema jamaa siyo mtu wa mazoezi tu, hakuna mwanamke aliyewahi kuniletea jeuri kama hiyo. Watu tunapiga show heavy viwanja vitatu kwa siku na bado wenye viwanja vyao wanaomba poh! et wafanye marekebisho ya uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa utanyoosha mikono. Dem mtamu ni yule anayekusubir wewe umsumbue na aringe kidogo. Ila kama huyu mmmhh. Hifadhi hii postdaaah!! we jamaa mzembe kweli walahi!! unazidiwa maujanja na jimama yaani hizo chance nazitafuta walahi!! nipe connection mkuu!! yaani pesa za bure zipo halafu unazikimbia!! daaaaah! kweli dunia inamambo
don't waste your time on lecturing me, this is 2020
Atakuua huyo wanaitwaga pepo mahaba nakumbuka mtaa niliokulia kulikuwa kuna wasichana kadhaa wanatabia hizo wanaitwa pepo mahaba.
Sibora huyo limama hao pepo mahaba akiona mwanaume hisia zinaanza kumpanda na akikuzoea atajitongozesha na ukija kwenye swala LA mapenzi hawaridhiki yaani wao mda wote wanataka watwange mchi hawataki pesa wao mchezo tuu. Huwa najiulizaga huwa hawana mambo mengine yakufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mchezo mkuu usiombe uingie nae ndani, kama jela vileMkuu umenichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichokupendea hujapindisha umesema ni wewe mwenyewe[emoji16][emoji16] kuna wale wa rafiki yangu kaniomba ushauri kumbe ni ye mwenyewe🤣🤣
Uzoefu (20-30)
1. Tafuta hela
2. Tafuta hela
3. Tafuta hela...
Lasivyo utamkumbuka jimama lako
Kero ya majimama ‘desperado’ ni kama hayana cha kupoteza, maisha yalishamaliza hivyo likipata gegedo tu basi murua kabisa.... sasa kijana mwenye malengo unahitaji binti wa ‘kesho’ yako kuliko hili jimama lazima ukimbie.
Nimewahi kuwa nalo ila nilifanikiwa kujinasua, japo hadi leo linanikomalia tena kwa kunijaza kuwa lina ‘hisia kali’ juu yangu haijapata kutokea.... nilikuwa najiona bingwa kinyama siku zingine mkikaa nalo tu kitandani stori za hapa na pale ukilichekesha tu lishakojoa muda mamamae 🤣🤣🤣
Nikaanza kulikwepa ya kwamba nahitaji mahusiano yenye maana sio haya ambayo wanasema sijui hata yanahusiana na nini, nahitaji demu mwenye nitapanda mbegu nivune uzao.... basi likawa linasema linaumia ila inabidi liheshimu na kuniunga mkono.
Embu ona mpaka mabaharia wanavyokusema unatuaibisha baharia akimbii mission anapambana
Laasivyo rudisha kadi ya chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikupm najua uajua nn nataka npo buza kwa mama kibonge hapa napitia katiba yetu pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app