Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari anacho cheo kingine ili agombee Ubunge!
Huu ni udhalilishaji wa Wana Arusha waliokipigania chama chao kwa miaka yote na kiukweli haukubaliki, Inakuwaje haya mambo mbona ni ya kipumbavu sana!
Mrisho Gambo alipata nafasi ya kugombea Ubunge baada ya ujinga kama huu huu, Sababu kuu iliyompa nafasi hiyo ni kumkomoa Godbless Lema kwa kushirikiana na Dikteta Magufuli!
Soma Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
Hivi Wana Arusha mtakuwa Jamvi la Wageni hadi lini, hivi ni kweli kwamba hamna akili kabisa nyinyi wote?
Kuna Haja ya Nabii wa Mungu Godbless Lema kutafakari upya na kurejea kuwakomboa Wana Arusha waliogeuzwa mifugo na Viongozi wa Mkoa wao, lakini tu ikiwa kutakuwa na Reform, Mambo wanayofanyiwa Watu wa Arusha ni ya Aibu sana na hayakubaliki.