Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaJf,
Salaam!
Naenda moja kwa moja kwenye agenda.
(a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi."
(b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa."
(c). 2020 -
Mbunge amenukuliwa akisema kuwa "Mwanaume asiyekuwa na mbuzi, kondoo, au ng'ombe huyo si mwanaume.
Akaongeza kuwa "hakuna mwanaume anayechezea ngoma mwanaume mwenzake."
Lakini pia wakati wa ziara ya JPM aliposimamishwa kuomba nini afanyiwe wilayani kwake aliomba GEREZA, MAHAKAMA, NA POLISI.
Ikiwa unajiandaa kuwa kiongozi jitahidi kuchagua maneno ya kuongea mbele za unaowaongoza. Sijui kauli za viongozi ktk majimbo mengine!WEKA HAPA!