Jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

JIMBO LA IGUNGA

Tumepokea Fedha kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya Sekta ya Elimu kwa mchanganuo ufuatao;

Tshs. 814,900,000/- za Ujenzi wa Shule Mpya za Msingi na Urekebishaji

Shule ya Msingi Buyumba (Kata ya Igunga)
  • Ujenzi wa Madarasa 3 @ 26,000,000/- = 78,000,000/-
  • Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
  • Jumla ya Fedha 84,600,000/-

Shule ya Msingi Hanihani (Kata ya Igunga)
  • Ujenzi wa Madarasa 2 @ 26,000,000/- = 52,000,000/-
  • Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
  • Jumla ya Fedha 58,600,000/-

Shule ya Msingi Jitegemee (Kata ya Igunga)
  • Ujenzi wa Shule Mpya, Mikondo 02 = 561,100,000/-
  • Jumla ya Fedha 561,100,000/-

Shule ya Msingi Mwabalaturu (Kata ya Itunduru)
  • Ujenzi wa Madarasa 4 @ 26,000,000/- = 104,000,000/-
  • Matundu 3 ya Vyoo @ 2,200,000/- = 6,600,000/-
  • Jumla ya Fedha 110,600,000/-

Tunaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupatia Fedha za Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo Letu.

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
1 Aprili, 2023
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-04-01 at 14.06.02.jpeg
    91.3 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…