Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Haji Manara akihojiwa na Manara TV amesema kwa sasa hawezi kugombea jimbo la Ilala na mbunge Zungu kutokana na misingi ya heshima waliojiwekea baina yao.
Ameongeza kuwa Zungu ni kama kaka yake kwani wanashirikiana vitu vingi sana na hata akienda Dodoma huwa anafikia kwake. Manara anasema ikiwa Zungu hatagombea, basi atajitosa jimbo la Ilala hata sasa hivi.
Vipi wanaIlala mpo tayari kuwakilishwa na Manara?