Jimbo la Isimani, Iringa tunasema Festo Kiswaga anatosha kuwa mrithi wa Lukuvi

Kampeni zimeshaanza
 
Hii ni kufa kufaana?
 
Ndio Kiswaga mwenyewe nini? Huu ujinga wa ccm kuzidiwa na cdm kisha kutegemea vyombo vya dola, mmefikia mahali kwa kujua cdm ndio inayokubalika, mnawataja wanacdm ili kung'arisha tamaa zenu za madaraka. Pumbavu zenu.
 
Hapo Isimani wampe Eng. SEBASTIAN KIYOYO. Mtu mwenye akili zake timamu. Amekuwa namba mbili kwenye kura za maoni kwa miaka mingi hapo.
Kama Lukuvi alikuwa ndio best wao na akawa chawa wa kiwango kile, hao wanaomfuatia si ndio takataka kabisa?
 
Watu mna mambo nyie hata kabla King'ang'a hajazikwa tayari amepatikana mrithi wake !!!
 
Hii ina tofauti gani na ile ya mtoto wa jenister?
pale speaker (mwarabu wa OMAN) Ndugu zungu alipompendekeza mtoto wake agombee ubunge?
sijui leo mwarabu (zungu ) atampendekeza nani?
 
Mpeni Asas .. jimbo la Lukuvi linatia Aibu miundo mbinu...
Barabara hazipitiki..
Na msiba umetokea pazuri..waje wajionee.
kumeoza
 
Hya maccm ndio maana yanauana hovyohovyo,hata mazishi bado wameshaanza kugombania cheo!Hizi siasa zao za kuuana hatopona mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…