Uchaguzi 2020 Jimbo la Kawe naamini Askofu Gwajima ataleta Mapinduzi makubwa ya maendeleo kuliko Mdee

kawaulize 'kondoo' wake wamefaidi nini ktk miaka yote waliyokaa na huyu mtu kama 'mchungaji wao!
wameishiwa 'kuliwa', kutapeliwa, kudanganywa na kuhujumiwa!
 
Kama kashindwa hata kujenga kanisa lake tu huko kwingine atawezaje?
Kama Chadema wameshindwa kujenga hata ofisi zake za makao makuu, huko kwenye U Rais mnataka nini kama sio kupiga kama kawaida yenu.?. Unadhani watanzania wajinga?. Mnakula ruzuku, michango bado mabeberu wanawapa visenti, mwala tu hata ofisi hamna sio unyumbu huo. Mmefail vibaya 28,oct.
 
Halima alishapiga sana kelele bungeni kuhusu jimbo la kawe sema serikali ya CCM ina ubaguzi wa kuleta maendeleo kwenye majimbo ya upinzani kama magu anavyosema ,sasa sisi wapinzani tutachagua upinzani maendeleo yenu kaeni nayo .

Halafu huyo mchungaji malaya mkata viuno kwa kutafuna waumini hawezi kupata hata nusu ya kura ya wana kawe
 
Una mke? Gwajiboy Ni kiwembe hataree
 
Mkuu umesema vizuri. Nami niongezee kawe wasipomchagua Gwajima wamekaribisha miaka mitano migumu sana hapo kawe. Nawaambia mapema. Nimemaliza
 

Gwajima anakubalika sana. Yuko njema na Atashinda kwa kishindo. Yule mwingine ni msagaji, ana kelele tu. Ni kiropo hana maana, amekwamisha maendeleo mazima ya kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…