Uchaguzi 2020 Jimbo la Kibamba lipo wazi kwa CCM, kazi kwenu

bilashaka, mbunge aliye karibu kuzungumza na Rais ni yule mwenye chama alicho Rais husika, ukaribu uliopo huraisisha na hulainisha zaidi kazi

Wabunge hawazungumzi na Rais, bungeni anaingia mara mbili tatu tu.... mna Rais wa kipekee dunia nzima!
 
Bunge lijayo linarudi kuwa la Chama kimoja, naona nguvu kubwa inatumika

Ova
 
Bunge lijayo linarudi kuwa la Chama kimoja, naona nguvu kubwa inatumika

Ova
na hiyo ni kutokana na nguvu kubwa ya maendeleo aliyo ifanya Rais hivyo itarahisisha sana kazi kwa wabunge na madiwani wa ccm, ukitazama kila kona ya nchi kuna maenseleo yanafanyika,
ila kuna baadhi ya majimbo kuna wabunge wa vyama vya upinzani wamejitahidi kutatua kero za wananchi wao,
nilikuwa na mkubali sana mbunge wa Moshi marehemu mzee Ndesamburo nmana alivyo kuwa akitatua kero za wananchi wake, ndio mbunge ana paswa kuwa.
 
Unajidhalilisha na picha ya avatar umevaa suti kwani unafanya watu wavaa suti tuonekane wajinga. Kupinga huko kwa kina Mdee na Mnyika ndiko kuliko pelekea majimbo yenu yakapata maendeleo tofauti na Mtera, Kongwa au Katavi.
Hivi akili zenu mbona hamzitumii nyie kuelewa?
 
Nadhani miradi ya maendeleo huwa inatekelezwa kwa kutumia kodi za wananchi na sio za ccm
 
Kumbe ni njia sita na sio nane tena?
 
Ona huu msukule wa Lumumba , nenda kachukue buku 7 yako uendeshe maisha.
Njaa mbaya sana.
 
Syo Kweli, Kwan Wabunge wapinzani waombea fedha
Ili kukamilisha miradi kwenye majimbo yao serikali inapeleka huko, si wananyongonyesha maksudi ili wapate sababu kesho waseme Wabunge wenu hawafanyi lolote
Kutaka bunge liwe ka Chama kimoja kwanza bunge litakuwa halina challenge

Ova
 
Kodi za Wananchi ww syo Hela ya ccm

Ova
 
Kwa hiyo unathibitisha kwenu maendeleo ni kutazama jimbo lipo chini ya mbunge wa gani?
 
Maendeleo yapi?
 
Akili yako imejaa tope,huyo m bunge wako ungemuona vipi wakati hakuruhusiwa hata kufanya mikutano ya shukrani?
Pale makabe alitaka kufanya mkutano 2018,policcm wakauzuia,mimi nilikuwepo.
Nadhani umeweka sana ushabiki kuliko uhalisia sio kosa lako
 
[/QUOTE]
Kwa kuwa lina miradi mingi iliyotekelezwa chini ya mbunge wa chadema unasema lipo wazi kwa ccm kulikomboa vipi sisi uku Peramiho, Songea tupo chini ya mbunge wa ccm na hakuna mradi wa maana uliotekelezwa nasi tukombolewe na Chadema!!!? Inashangaza sana watanzania wenye imani hii maendeleo hayana chama.
 
[/QUOTE]
Wewe hujitambui pia unatumika kama karai
 
inasikitisha sana kuwa na mawazo kama hayo
 
Kazi ya kuleta maendeleo ni ya Serikali iliyo madarakani siyo mbunge.Kiuhalisia Kibamba wamepata maendeleo hayo baada ya mbunge wao Mh.Mnyika kuwatetea bungeni.
 
kwa taarifa yako wakazi wengi wa kibamba ni watu wanao jitambua, apo CCM hata ifanye nini haiwezi kupita
Jitambua maana yake ni nini? Hata Mbunge hawasaidii kutatua matatizo yenu basi muendelee kumchagua tu huko ni kujitambua au ni unyumbu?
 
baadhi ya wabunge wa upinzani hupinga bajeti ya serikali kila mwaka, na bajeti hiyo ndiyo bajeti ya maendeleo ya wananchi
 
Kwa kuwa lina miradi mingi iliyotekelezwa chini ya mbunge wa chadema unasema lipo wazi kwa ccm kulikomboa vipi sisi uku Peramiho, Songea tupo chini ya mbunge wa ccm na hakuna mradi wa maana uliotekelezwa nasi tukombolewe na Chadema!!!? Inashangaza sana watanzania wenye imani hii maendeleo hayana chama.[/QUOTE]





sasa hapo ni kati yako na mbunge wako, wewe mtathimini kama ahadi alizo kuwa amewaahidi je amezitekeleza? kama hakuna kitu unahaki ya kumuadhibu octoba 2020 kama atapishwa kugombea, kuna haja ya kuangalia mbunge mwenye nia ya kweli ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake bila kujali chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…