Uchaguzi 2020 Jimbo la Kibamba lipo wazi kwa CCM, kazi kwenu

Kwa hiyo unathibitisha kwenu maendeleo ni kutazama jimbo lipo chini ya mbunge wa gani?
hapana maendeleo ni mashirikiano ya karibu kati ya mbunge na wananchi wake kutafuta ufumbuzi wa kero na kuleta maendeleo, mifano ya baadhi ya wabunge tunaona jitihada zao ktk majimbo yao.
naweza kukupa mfano mzuri wa aliye kuwa mbunge Ludewa marehemu Deo, alikuwa mfano mzuri wa jinsi wabunge wanatakiwa kuwa na wananchi wake ktk kuwaletea maendeleo
 
usikute unakaa kariakoi unatusea wana kibamba
 

Dada usiseme mambo ya namna hii. Niko Chemba, mbona huku hakuna uwekezaji mkubwa?? Nimegundua palipo na wapinzani ndipo panaendelezwa. Mbunge hawezi kutatua matatizo ya maji, hospitali za wananchi zaidi ya milioni moja. Kwa pesa zipi? Mbona mbunge Nkamia hajafanya hayo unayotaka Mnyika afanye??

CCM haiwezi kupewa changamoto na wanaCCM bali wapinzani. Huko mijini, chagueni wapinzani!!
 
Wale wabunge walio karibu na Rais mfano Lakairo wa Rorya wamenufaika na nini? mnapenda sana upotoshaji sijui mnapata faida gani. Au jimbo la Doto Biteko alie karibu na Rais wananchi wake wamenufaika nini ki maendeleo? wakati ata soko la matikiti ameshindwa kuwatafutia tunayapita yanaoigwa na jua pale barabarani.
 
Ni Utopolo pekee mwenye mawazo kama yako.

Kama ingekua hivyo basi jimbo la kongwa kwa Ndugai kwa sasa lingekua kama Atlanta city.
 
La Gwajima hilo.
 
Muwe na akili ccm pesa wanatoa wapi miradi yote imepelekwa na serikali kupitia kodi zetu wananchi,na mbunge ni mfuatiliaji na msimamizi wa miradi.

Yani nyie watu sijui ni nani kawaroga yani huwa mnaropoka pumba tu sijui huwa mnafikiri sisi wote akili zetu zimeoza kama zenu,muwe mnafikiri kabla ya kuandika uharo .
 
Asante Mnyika, jitihada zako kuanzia bungeni mpaka kufanya lobbying tumeziona! Nyie CCM kafanyeni miradi kule kwa Wagogo, majimbo ya Kibajaj na Ndugai yako hoi!
 
Wewe ndiye wa ajabu, unataka umwone nyumbani kwenu unataka kumpa dada yako? Amekwambia anamtaka? Mnyika kapiga kazi inajulikana na halina ubishi. Kama CCM mnaweza kwanini msipeleke maendele kwa Ndugai na Kibajaji? acheni ungese!
 
Ameaahau kibamba tulivyovunjia nyimba zetu bila fidia alafu eti tuwape kura. Hazikutoshi kichwani
 
Basi ikiwa ndivyo hivyo haina haja ya wananchi kulipa kodi "kwa fisiemu inaleta maendeleo kwa jitihada zake!!"
 
jimbo la kibamba tayari hadi kufikia leo trh 2 watia nia wamefika 20 kupitia cahama cha ccm, nawashauri ndugu zangu kama miongoni mwetu kuna ambaye anijiona anasifa aende kuchukua fomu, naamini mwaka huu mchujo utazingatia vigezo. tunahitaji mchapa kazi jimbo la kibamaba sio muuza maneno
 
Kwani mama yetu FENELA MKANGALA kasema hagombei hapo?
 
tunahitaji fresh mind, mwendo nginja nginja
 
Wewe ndiye wa ajabu, unataka umwone nyumbani kwenu unataka kumpa dada yako? Amekwambia anamtaka? Mnyika kapiga kazi inajulikana na halina ubishi. Kama CCM mnaweza kwanini msipeleke maendele kwa Ndugai na Kibajaji? acheni ungese!
Ufipa mnashida sana kashfa zinatoka wapi halafu sijui mnafikiria kwa kiungo gani cha kuwafanya hamtakiwi kukosolewa na kwamba yeyote anaewakosoa basi ni kijana wa Lumumba
 
tia nia kupitia chama chocho kile ilimradi tu uwe jembe
 
tunahitaji Diwani mpambanaji na Mbunge mpiganaji kwenye maendeleo ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…