J Jonchill New Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #1 Mgombea wa sisi em, Selukamba ametangazwa kuwa mshindi, bila kutajwa hidadi za kura alizoshinda. Hii ni baada ya kura kuchakachuliwa kwani mgombea wa chadema ndo alikuwa anaongoza kwa matokeo halali.
Mgombea wa sisi em, Selukamba ametangazwa kuwa mshindi, bila kutajwa hidadi za kura alizoshinda. Hii ni baada ya kura kuchakachuliwa kwani mgombea wa chadema ndo alikuwa anaongoza kwa matokeo halali.