Jimbo la Kilosa limechoka sana, Mkulo anafanya nini?

Karhumanzira

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
50
Reaction score
9
City Center.jpg
City centre1.jpg
City Cntre.jpg
City cntre2.jpg

WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI MHESHIMIWA MUSTAFA MKULO

Picha za chini ni city center yani ndo kwa dar,ni kuanzia NBC hadi Akiba,Huyo jamaa mbona jimbo lake halina maendeleo,inflation rate ipo juu,hivi anafanya nini cha umuhimu?
 
bado sijapata uhusiano wa mada na picha za kilosa.

nilitegemea nione nyumba za tembe,
miundombinu (shule, hosp, barabara n.k) mbovu,
wananchi waliokata tamaa n.k
 
Hahahahahaaaaa Hapo ndio City center yani hapo ndo kama NBC near New Africa Hotel,Vumbi tupu barabara vumbi na bado hauoni kitu 9th dec?
 
Hapo ndio Town,kwa mbali kuna jengo la polisi(yani ndo central yao)

Jengo La mbele ni Police.jpg
 
ungepata picha za zombo na madudumizi ingekuwa safi sana.
 
Ni mshahara wa kuwachagua wabunge wa CCM. Muulizeni pia Kombani kuwa Mahenge ikoje? Aibu kwa mawaziri wanaochakachua fedha na Katiba kuona jinsi majimbo yao yanavyochoka huku wenyewe wakila kuku kwa mrija. Kumbe umaskini huo ni mishahara ya majimbo yanayoapa kufa na CCM.
 
Tanzania tijifunze, mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na watu walewale , lazima tuwape nafasi watu wapya
 
Back
Top Bottom