Karhumanzira
Member
- Oct 19, 2011
- 50
- 9
bado sijapata uhusiano wa mada na picha za kilosa.
nilitegemea nione nyumba za tembe,
miundombinu (shule, hosp, barabara n.k) mbovu,
wananchi waliokata tamaa n.k
kweli kabisa, au nyali na ibingu ndio ingependezaungepata picha za zombo na madudumizi ingekuwa safi sana.
Ni mshahara wa kuwachagua wabunge wa CCM. Muulizeni pia Kombani kuwa Mahenge ikoje? Aibu kwa mawaziri wanaochakachua fedha na Katiba kuona jinsi majimbo yao yanavyochoka huku wenyewe wakila kuku kwa mrija. Kumbe umaskini huo ni mishahara ya majimbo yanayoapa kufa na CCM.