Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Majimbo matano kuchukuliwa kiulani na CCM;
1- Mbeya mjini
2- Iringa mjini
3- Arusha mjini
4- Kawe
5- Hai
Msinitukane ila huo ndio ukweli
Mkuu nitakutafuta tarehe 28 au 29 OctoberLabda kwa mtutu. Kwa kura sandukuninhao wa ccm wanapigwa vibaya
Kinyume chake. Ukitaka bisha piaMajimbo matano kuchukuliwa kiulani na CCM;
1- Mbeya mjini
2- Iringa mjini
3- Arusha mjini
4- Kawe
5- Hai
Msinitukane ila huo ndio ukweli
Mkuu tuombe uzima ili tuyashuhudie haya, zimebaki siku 67 tuKinyume chake. Ukitaka bisha pia
SawaMkuu tuombe uzima ili tuyashuhudie haya, zimebaki siku 67 tu
Singida ni miongoni mwa mikoa ambayo iko nyuma kimaempndeleo.Singida hakuna watu wajinga wajinga wa kuchagua ccm kwa ajili ya pilau na fulana kanga na kofia za kijani wanazogawa maccm kila baada ya miaka 5
Huwezi kufananisha na kongwa kwa mfano... maeneo yote yaliyokaliwa na ccm ni duni sn wananchi wamekata tamaa kabisaSingida ni miongoni mwa mikoa ambayo iko nyuma kimaempndeleo.