Baada Ya Kukaa Kwa Miaka 19 Bila Kuwa Na Mbunge Wa Kuwatetea Watu Wa Manyovu, Sasa Jimbo Hilo Kuna Dalili Njema Za Kukombolewa Kutoka Mikononi Mwa Wakoloni Weusi Yaani CCM ni Kijana Japhet Manase Zakaria Mayani ( Anajulikana Pia Kwa Jina La Tumaini ).
Kuna Tetesi Kuwa Kamanda Huyo Anaweza Kutangaza Nia Ya Kulikomboa Jimbo Hilo Kupitia Tiketi Ya Chama Cha Watu Cha Chadema.
Amedhamilia Kumuengua Mbunge Albert Ntibaliba Aka Obama Ambaye Ameonekana Wazi Hakuna Alichokifanya Zaidi Ya Kuwanunulia Wazee Pombe Za Kienyeji Yaani Kayoga Katika Vijiji Vya Munanila, Mkatanga, Janda, Muyama, Kitambuka, Kibwigwa Na Vingine Vingi.
Kijana Huyu Ni Mzalendo, Mpambanaji Na Mwenye Wito Wa Kuwatumikia Wananchi.. Amelelewa Katika Maadili Mema Na Ni Mtu Wa Watu.
Vijana Wote, Wanawake, Wanaume, Wazee Pamoja Na Watoto Tunaomba Tumuunge Mkono Kijana Huyo Kama Atatangaza Nia.