Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka ,ila wajue kuwa huu ni Uchaguzi wa wananchi ambao wanaishi kwenye mtaa au kitongoji kimoja na wanajua Kila kinachoendelea!