https://www.facebook.com/View attachment 3124353
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka ,ila wajue kuwa huu ni Uchaguzi wa wananchi ambao wanaishi kwenye mtaa au kitongoji kimoja na wanajua Kila kinachoendelea!
block C mbona wapo ACT wazalendo kwenye jengo hilo hilo na husemi gentleman? πView attachment 3124353
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka ,ila wajue kuwa huu ni Uchaguzi wa wananchi ambao wanaishi kwenye mtaa au kitongoji kimoja na wanajua Kila kinachoendelea!
ACT = CCMblock C mbona wapo ACT wazalendo kwenye jengo hilo hilo na husemi gentleman? π
hadi maandishi yanatisha yee π€£
Huu ni uhuni na mabavu!View attachment 3124353
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo wanavyotaka ,ila wajue kuwa huu ni Uchaguzi wa wananchi ambao wanaishi kwenye mtaa au kitongoji kimoja na wanajua Kila kinachoendelea!
Mnakazi machawa!Hata yaliyo na shaka mnaunga hoja!block C mbona wapo ACT wazalendo kwenye jengo hilo hilo na husemi gentleman? π
hadi maandishi yanatisha yee π€£
Mwashambwa na tlatlaah hawaoni uchafu!Endeleeni kufichua kila uchafu
Wabauona ila wanategemea polisiMwashambwa na tlatlaah hawaoni uchafu!