Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Sio jimboni kwake tu, ni nchi nzima kiufupi haya majinga yameshindwa kila kitu yanabaki yanajihami kwa kuteka na kuua, NRNE
Wanasema hawadai.Yaani kila kitu majimboni mwao ni safi,mwororo,maridadi,dukinaa,dangachee,shega sanaaaa!Wakiwa bungeni kumtetea mama utazani wao ndio abduli na mchengerwa
Kuna mtu nilimpa kazi ya kunitafutia mtoto japo mmoja wa DED, DC, DAS,DSO,Mbunge,Katibu wa CCM wa Wilaya,DPO, DIO, DEO, Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya anayesoma kwenye shule ya St. Kayumba (shule za msingi za kawaida za serikali) kwenye wilaya yake anaishi, na akimpata nitampatia milioni moja.Mleta uzi,ni watoto wa Rais, waziri na makatibu/wauirugenzi tu ndiyo hukaa kwenye viti/madawati.Ninyi wengine mtajicheki.
LIKUD njoo upige milioni hukuKuna mtu nilimpa kazi ya kunitafutia mtoto japo mmoja wa DED, DC, DAS,DSO,Mbunge,Katibu wa CCM wa Wilaya,DPO, DIO, DEO, Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya anayesoma kwenye shule ya St. Kayumba (shule za msingi za kawaida za serikali) kwenye wilaya yake anaishi, na akimpata nitampatia milioni moja.
Mpaka kesho anasema hajaona.
Yaani hao wanaosifia shule za serikali kuwa elimu imeboreshwa na "mama yao" ndio hao hao ambao watoto wao huwakuti kwenye hizo shule.
Huyo jamaa alichoniambia baada ya kukosa mtoto wa kiongozi anayesoma shule za msingi za serikali, alikiri kuwa wanadanganywa sana na hawa viongozi.
Kama shule ni bora na kimiundombinu na kimasomo, kwa nini watoto wao hawasomi huko!!?
Ponjoro according to his CV, he studied his first degree within a year at UDSM.
Masters yake ilipaswa kuwa Oxford au Harvard.Nimekuwa UDASA kwa miaka 26, lakini sijawahi kujua kuwa UDSM wana program ya "kurusha darasa" kwa "majiniaz" kama ponjoro wa Kino!
Katika mambo ambayo JPM alikosea sana katika utawala wake ni kuachia Bunge lae lijae watu wenye elimu ya kuungaunga na wale wa darasa la saba.Ponjoro according to his CV, he studied his first degree within a year at UDSM.
Degree na Masters UDSM ndani ya miaka miwili 🤣🤣🤣Ponjoro according to his CV, he studied his first degree within a year at UDSM.
Bora tu Magufuli alivyokufaKatika mambo ambayo JPM alikosea sana katika utawala wake ni kuachia Bunge lae lijae watu wenye elimu ya kuungaunga na wale wa darasa la saba.
Ponjoro is our new genius.Degree na Masters UDSM ndani ya miaka miwili 🤣🤣🤣
Ponjoro 🙌
Ponjoro kaweka rekodi hakuna wa kuja kuivunjaPonjoro is our new genius.
Hii elimu ya wabunge na mawaziri kwa wengi ni wa kuandikiwa essays na thesis. Siku moja waweke heading na wawape wabunge karatasi, kila mmoja aandike essay ya maneno 500 ndiyo atoke nje ya jengo. Ninaamini wengi watalala mjengoni.Katika mambo ambayo JPM alikosea sana katika utawala wake ni kuachia Bunge lae lijae watu wenye elimu ya kuungaunga na wale wa darasa la saba.
Kwa wenzetu waloendelea wakigundua hilo (la elimu yenye utata) vyombo vya habari hukushikia bango hadi uthibitishe ulipataje vyeti kutoka chuo kama UDSM, la sivyo uachie nafasi ulo nayo.Ponjoro kaweka rekodi hakuna wa kuja kuivunja