Jimboni kinondoni: Shule ya Mtambani wanafunzi wanakaa chini

Sio jimboni kwake tu, ni nchi nzima kiufupi haya majinga yameshindwa kila kitu yanabaki yanajihami kwa kuteka na kuua, NRNE
Nyie mmeitendea nini nchi yenu kabla ya kuwanyooshea vidole wenzenu?
 
Kwa wenzetu waloendelea wakigundua hilo (la elimu yenye utata) vyombo vya habari hukushikia bango hadi uthibitishe ulipataje vyeti kutoka chuo kama UDSM, la sivyo uachie nafasi ulo nayo.
Cha ajabu UDSM wako kimya tu wakati reputation ya chuo chao iko mashakani​
 
Hii elimu ya wabunge na mawaziri kwa wengi ni wa kuandikiwa essays na thesis. Siku moja waweke heading na wawape wabunge karatasi, kila mmoja aandike essay ya maneno 500 ndiyo atoke nje ya jengo. Ninaamini wengi watalala mjengoni.
Hivi adhani hata mbunge kama Msukuma ahitaji maneno 500?

Mie nampa aandike essay na maneno 300 tu.

Namwambia nataka intro (maneno 50) body (200) na conclusion (maneno 50)

Mtihani asimamiwa na hakuna longolongo weye na karatasi na kalamu.

Bila hivyo ubunge hamna.
 
Nyie mmeitendea nini nchi yenu kabla ya kuwanyooshea vidole wenzenu?
Mbona ndio tupo hapa twaandika maoni mazuri tu yaso na athari kwa mtu yoyote awe raisi au mbunge.

Watu wa intelligence kazi yao ni kusoma na kuchukua yale maoni mazuri na kumpatia bi mkubwa.

Lakini badala yake ni kuundwa kwa red army kusaka watoa maoni na kuwapopoa macho.

Sasa nchi itasonga vipi mbele kama hutaki maoni hata kama maoni hayo ni mazuri au ni makali?
 
Jimbon kwa ponjoro mzee wa kuchezesha kamar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…