Jimboni Konde: Vipi hili la Mkuu wa mkoa kumpigia kampeni mgombea Ubunge

Jimboni Konde: Vipi hili la Mkuu wa mkoa kumpigia kampeni mgombea Ubunge

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria??
Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?

 
Hamnazo katuharibia nchi harufu ya udikteta ipo nchi hii viongozi wapuuzi wameona kumbe mambo fulani yanawezekana na hamna wa kufanya kitu mfano
Sabaya tu lazima atatoka mda wowote huko sasa hawa wengine wataogopa nini ikiwa mkuu wa wilaya tu hafungiki

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Watu ukiwaambia CCM hawajashinda uchaguzi kihalali 2020 bara na visiwani wanakuwa wagumu kuelewa...lakini huu ni ushahidi tosha,ukirejea historia ya mfumo wa vyama vingi Tanzania,haya yamekuwa yakifanyika sana hasa maeneo ambayo CCM imekabwa vilivyo...hata hili CCM yatakuwa Maji ya shingo kule...ndugu zao wa Damu ACT- Wazalendo watakuwa wamekaba...
 
Back
Top Bottom