PreGE2025 Jimboni kwa Bashe moto unawaka anapumulia mashine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwenye sukari pekee yake, Bashe anatajwa kupiga zaidi ya bilioni 400, ambapo wote aliowapa vibali vya kuagiza sukari walitakiwa kumpa sh 100 kwa kila kilo. Bado zile alizozipiga kupitoa mrsdi hewa wa kilimo ambapo anadai alitumia milioni 7 kuandaa ekari moja!!.

Lakini za ndani ni kwamba sehemu ya hiyo bilioni 400, ilimfikia bibi Kizmkazi. Hivyo, wajumbe hata wasipompa kura, kamati kuu watamteua yeye kutokana na mchango wake katika kupatikana kwa pesa zilizomwezesha bi Kizmkazi kununua pikipiki za kuhonga vijana.
 
Bashe huyu aliyemuangusha Seleli ndiyo aje aangushwe na mtu asiye na pesa tena jimbo LA wenye njaa kama Nzega?
 
Pengine Shakari Ndiye Madhili mwenyewe anayelitaka jimbo. Haiwezekani ujue mpaka details za ndani hivyo kuwa hana hela.

Anyway kwa Bashe unapoteza muda tu pamoja na kuleta hoja zako dhaifu za Uraia. Kwanza huo ni ubaguzi na ukabila
 
Kwanza huyo siyo mtanzania. Ni msomali
 
Suala la uzawa nalo linamtesa wakikumbushia mambo ya 2010 wakati wa Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu utata wa uraia wake anatajwa mtu mmoja anaitwa Mashili kama mpinzani wake mkuu licha ya kuwa hana fedha kumzidi Bashe ila anaonekana kukubalika sana kwa wananchi.
 
Nzega nao wajinga sana, watu wanatoka Somalia huko wanakuja kuwatawala! Watz wanahitaji kuamka usingizini na kujitambua ipasavyo.
Soma history vizuri kabla ya kuandika pumba zako za kibaguzi. Kuna jamii ya Wasomali ili migrate kwenda Hai karibu na Siha yapata karne ya 15, sasa hivi wanajiita Wamachame. Mfano ni Dr Mollel mbunge wa Siha.

Nikikuuliza kabila lako hapa na ukalitaja usijeshangaa kuwa babu zako wali migrate hapa kati ya karne ya 17 na 18, mfano ni Wangoni wa Ruvuma
 
Huyo Mashili inaonyesha naye pia ana 'ukwasi' sio haba.
 
Mwasibu, Your issue seems personal na huyo Bashe , uwe na siku njema na hongereni kwa kuvuka.
 
No reform no election ndio mwisho wa utapeli wote, huyo woria hata asipougwa mkono ataiba kura maana ndio SOP ya CCM .
Your browser is not able to display this video.
 
Y
Yuleunayesema hana hela basi naye hawezi kushinda 😳 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…