PreGE2025 Jimboni kwa Bashe moto unawaka anapumulia mashine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nzega yetu hatuwezi kuongoza na Msomali koko akajaza fomu Somalia agombee ubunge kwa tiketi ya Al ~Shabaab .. ndugu zangu wa Mwanshina, Kitangiri,Itiro,Nhobora,Buchama piga chini huyo Mbwa wa Rostam..i
 
Pengine Shakari Ndiye Madhili mwenyewe anayelitaka jimbo. Haiwezekani ujue mpaka details za ndani hivyo kuwa hana hela.

Anyway kwa Bashe unapoteza muda tu pamoja na kuleta hoja zako dhaifu za Uraia. Kwanza huo ni ubaguzi na ukabila
Unaijua Nzega ww kinyeo cha mafisadi ?
 
Bashe huyu aliyemuangusha Seleli ndiyo aje aangushwe na mtu asiye na pesa tena jimbo LA wenye njaa kama Nzega?
Huyo Mashili akili hana kama anadhani hizi propaganda za JF kuna sehemu zitamfikisha. Bashe nakumbuka kura za maoni za 2020, alitangazwa saa 8 mchana na ndugu yake Lukuvi. Mtu wa CCM anayeshinda mapema hivyo ni wa kuogopwa.
 
Umetumwa siyo? Siasa za ubaguzi hazitawasaidia. Bashe ameitendea haki nchi yetu, ni raia halali.
 
Kachambe basi unanuka mafi Umbwa ya Mama Hangaya
Umebakiza hatua chache tu kuufikia mstali mwekundu baada ya hapo nikupeleke Gamboshi ukachambe vitoto vya misukule .
 
A
Acha ubaguzi we bwege, Bashe ana akili sana, wasukuma ushamba unawasumbua
Hakuna watu wapumbavu kule Mwalugesha.. sijui ww umetoka wapi ? unaijua Historia ya Swaga Ng'ombe ya 1983 hapo Sanga ?
 
Umebakiza hatua chache tu kuufikia mstali mwekundu baada ya hapo nikupeleke Gamboshi ukachambe vitoto vya misukule .
Umebakiza hatua chache tu kuufikia mstali mwekundu baada ya hapo nikupeleke Gamboshi ukachambe vitoto vya misukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…