Nimeambiwa na dada mmoja wa kimasai kutokea huko Monduli kuwa kuna wizi wa kura uliofanywa na watu wa Lowassa lakini Dr Toure hakukubaliana na matokeoa ya haraka haraka yaliyotangazwa kabla ya kuhseabu na kuhakiki kura; hivyo akaamua kufuatilia kwa karibu na sasa inawezekana kweli kuna mabadiliko. Dada huyu anadai kuwa Lowassa siyo mmasai hivyo asingeweza kupata kura za wamasai dhidi ya Dr Toure ambaye ni mmasai halisi na anaheshimiwa sana mwiongoni mwa wamasai. Hata hivyo, it might be REDIO MBAO, kwa sababu hicho siyo chanzo cha habari kinachoweza kuaminika sana.