Jimmy Kabwe Na Wenzake Wako Wapi!?

Jimmy Kabwe Na Wenzake Wako Wapi!?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi. Nakumbuka alikuwepo Jimmy Kabwe mwenyewe, D Andy, Sebastian, Abby na wengine .

Hawa jamaa kwa sasa wako redio ipi/zipi!?
 
Wako wapi Rough B Sijaona , Macline Mdoe na Nicky Ngonyani?
 
Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi. Nakumbuka alikuwepo Jimmy Kabwe mwenyewe, D Andy, Sebastian, Abby na wengine .

Hawa jamaa kwa sasa wako redio ipi/zipi!?
bila kumsahau lady haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Zilikosa matangazo wakawa wanapata hasara tu ya kuziendesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! siku hizi nalazimika kusikiliza online radio kupata ladha ya hio lugha

Back
Top Bottom