Wako wapi Rough B Sijaona , Macline Mdoe na Nicky Ngonyani?Miezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi. Nakumbuka alikuwepo Jimmy Kabwe mwenyewe, D Andy, Sebastian, Abby na wengine .
Hawa jamaa kwa sasa wako redio ipi/zipi!?
Itakuwa choice fm au classic fm
Gangwe mob!Wanapiga Pamba kama Sebastian Maganga ,Jimmy Kabwe,Nicky Ngonjani au John Dilinga.
Yap.
Kwamba jina lake ni Jumanne mkuu?jumanne kabwela
bila kumsahau lady hahaMiezi michache.iliyopita nilikuwa nawasikiliza hawa.kwenye redio moja. Ila tangu mfumo wa utangazaji wa ile redio ubadilike sijawahi tena kuwasikia na kwa kweli siisikilizi ile redio siku hizi. Nakumbuka alikuwepo Jimmy Kabwe mwenyewe, D Andy, Sebastian, Abby na wengine .
Hawa jamaa kwa sasa wako redio ipi/zipi!?
Zilikosa matangazo wakawa wanapata hasara tu ya kuziendesha.Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
ndioKwamba jina lake ni Jumanne mkuu?
Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Mkuu una interest kama mm tu m my choice huwa n HOME BOYS RADIO ya hapo jirani Kenya.Dah! siku hizi nalazimika kusikiliza online radio kupata ladha ya hio lugha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una interest kama mm tu m my choice huwa n HOME BOYS RADIO ya hapo jirani Kenya.
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try