Wikipeda, the online ENCYCLOPAEDIA, imefikishamiaka 10 leo. Hongera sana Mr. Wales. Kuna watu duniani ambao pesa haziwaambii kitu. Nadhani huyu jama ni moja wao, kwani angeweza kuingiza mabillioni ya $$$$ kama ilivyo google na Twitter, lakini huyu jamaa haambiliki. Ni vigumu kumuelewa.