K kidulile1 Member Joined Sep 21, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Sep 21, 2012 #1 yan bora hata awa heslb wangetoa majna hata ya tuliokosa tujue kuliko kutoyaona kabsa
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Sep 21, 2012 #2 nasikitika kusema kua kama hujaliona jinalako kwenye list ya walio pata mkopo na ile ya walio kosea, basi utakua umekosa mkopo, pole sana ndugu yangu usikate tamaa
nasikitika kusema kua kama hujaliona jinalako kwenye list ya walio pata mkopo na ile ya walio kosea, basi utakua umekosa mkopo, pole sana ndugu yangu usikate tamaa
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Sep 21, 2012 #3 mh.....pole sana jaribu hlssb!!!
R robert komba Member Joined Aug 11, 2012 Posts 22 Reaction score 2 Sep 21, 2012 #4 LORDVILLE said: mh.....pole sana jaribu hlssb!!! Click to expand... kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe??
LORDVILLE said: mh.....pole sana jaribu hlssb!!! Click to expand... kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe??
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,843 Reaction score 4,796 Sep 21, 2012 #5 robert komba said: kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe?? Click to expand... wanajiandikisha kwenye ofisi zao maeneo ya M/mmoja sas cjui kama bado wanaandikisha au walishatoa majina
robert komba said: kaka inaitwa hlssf!!vipi unaijua vizur na mm unihakikishie niombe?? Click to expand... wanajiandikisha kwenye ofisi zao maeneo ya M/mmoja sas cjui kama bado wanaandikisha au walishatoa majina