Jina dar es salaam lilipotokea

Jina dar es salaam lilipotokea

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Habarini wandugu, napenda kujuzwa jina la dar es salaam lilipoanzia na nani alikuwa muasisi wa jina hilo, asanteni
 
Linatokana na neno la kiarabu daarul salaam yaani mji wa amani au daarul islaam yaani nchi ya kiislam
 
Dar es salaam bandari salama ya kiislam. Ilala ni adhana ya la ila hai lala
 
Dar es salaam bandari salama ya kiislam. Ilala ni adhana ya la ila hai lala

bandar salama ipo brunei hii daarul salaam nyumba ya amani au daarul islam nchi ya kiislam na jina hili halikupendeza kwa baadhi ya watu ndio wakaipa tafsiri yako muulize yeyote mwenye kujua kiarabu atakwambia mbona wapo wengi
 
Back
Top Bottom