Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 May 9, 2014 #1 Habarini wandugu, napenda kujuzwa jina la dar es salaam lilipoanzia na nani alikuwa muasisi wa jina hilo, asanteni
Habarini wandugu, napenda kujuzwa jina la dar es salaam lilipoanzia na nani alikuwa muasisi wa jina hilo, asanteni
ngozimbili JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,012 May 19, 2014 #2 Linatokana na neno la kiarabu daarul salaam yaani mji wa amani au daarul islaam yaani nchi ya kiislam
Linatokana na neno la kiarabu daarul salaam yaani mji wa amani au daarul islaam yaani nchi ya kiislam
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,416 May 19, 2014 #3 دار السلام Dār as-Salām. (nyumba ya amani) Dar es Salaam (Tanzania) -- Encyclopedia Britannica
دار السلام Dār as-Salām. (nyumba ya amani) Dar es Salaam (Tanzania) -- Encyclopedia Britannica
M marikiti JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 2,972 Reaction score 914 May 19, 2014 #4 Dar es salaam bandari salama ya kiislam. Ilala ni adhana ya la ila hai lala
ngozimbili JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,012 May 19, 2014 #5 marikiti said: Dar es salaam bandari salama ya kiislam. Ilala ni adhana ya la ila hai lala Click to expand... bandar salama ipo brunei hii daarul salaam nyumba ya amani au daarul islam nchi ya kiislam na jina hili halikupendeza kwa baadhi ya watu ndio wakaipa tafsiri yako muulize yeyote mwenye kujua kiarabu atakwambia mbona wapo wengi
marikiti said: Dar es salaam bandari salama ya kiislam. Ilala ni adhana ya la ila hai lala Click to expand... bandar salama ipo brunei hii daarul salaam nyumba ya amani au daarul islam nchi ya kiislam na jina hili halikupendeza kwa baadhi ya watu ndio wakaipa tafsiri yako muulize yeyote mwenye kujua kiarabu atakwambia mbona wapo wengi