Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Noma sana mkuuSiku hizi mtu akijamba anaanzisha thread
Kubabake mbwebwe πππKuna yule mwamba anaitwa tako_la_mtemi Nikifa MkeWangu Asiolewe π π
Majina magumu hayakuna jamaa humu anaitwa Magonjwa Mtambuka
Hahakuna jamaa humu anaitwa Magonjwa Mtambuka
Ni mwenzake na jingalao, Bia yetu, MamaSamia2025, Lucas Mwashambwa, yaani hawa ndiyo chawa wa mama, wanamuonea fahari mama Abduli na wanawaonea aibu mama zao wazazikuna jamaa humu anaitwa Magonjwa Mtambuka
Duh.kuna jamaa humu anaitwa Magonjwa Mtambuka
Ila huyu tako_la_mtemi sijui aliwaza nini kujiita hivi, kuna majina mwengine ukijiita unajitia mkosi wewe mwenyewe.Kuna yule mwamba anaitwa tako_la_mtemi Nikifa MkeWangu Asiolewe π π
Magonjwa Mtambuka π€£ halaf picha ni Abdul Nondokuna jamaa humu anaitwa Magonjwa Mtambuka
Kidagaa kimemwozeaπππππ
πKidagaa kimemwozeaπππ