Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Gloria, mdada mpole, anaejiamini, mpenda dini na muimba kwaya mzuri! Siku nimekuja kugundua unatembea na Boss wangu kisa yeye ni mlezi wa kwaya kanisani kwenu....nikafukuzwa mpaka na kazi sababu niligundua unachofanya na boss wangu, ila nashukuru maana nimekuja kupata kazi bora zaidi....matokeo yake mpaka sasa hivi huna pa kwenda na ulijua fika boss ameoa...wewe ni mjinga sijapata ona, ukiendelea nitumia sms zako za kuomba msamaha ntazisambaza sasa...utaona tu hii post najua... All The Best, sikulaani wala nini, ndo maisha ulochagua
 
Unapenda kabisa darasa zima doh kweli we kiboko
 
Huyu anitha wa wapi??
 
[emoji87][emoji87][emoji87]
 
mke wangu wa badaye(future wife) popote ulipo nguruwe wewe nateseka na usingle huku sipati demu..kiazi wewe alafu nahisi utakuwa unagawa huko ulipoo mbuzi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuuu umenishinda aiseeeeeee. Nimecheka hadi nimenyamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…