Jina hili lina linanikera sana

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana
Jamani kunani
 
binafsi inanikera kuona matumizi yasiyoridhisha ya neno hili na mengine!
 
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana
Jamani kunani

Arusha eeh:confused2:
 
lipo sehemu nyingi tuu

.......eeh kumbe lipo sehemu nyingi...mi nilizani ni pale night park peke yake......nadhani sababu ya kuita hayo majina ni pale wamiliki wanapoamua kuweka wanawake wenye makalio makubwa basi unajua na mambo ya walevi tena....hawanaga lugha mbadala
 
Pale sinza unakumbuka?
 
unajua hilo jina ni kutokana na waudumu wote kuwa NA MAKALIO makubwa,so walevii wakikoleaa jina la makalio bar linaaa chukua nafasi.huwezi ajiriwa ARUSHA PARK kamaa hunaa makalio makubwa
 
Hata hivyo linatia kinyaa . Unaanza kujiuliza ustaarabu wa maeneo hayo teh teh
 
Mh mwenzenu sijui niko dunia gani ndo leo na liskia jina hilo.
 
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana
Jamani kunani

Kwa uzoefu wangu.... mmilik wa hiyo bar asilimia kubwa n mwanamke... anaajiri wahudumu walofungasha makalio ya mchina nafuuu...!!
 
Yawezekana jina hilo ni la kilugha. Tusitafsiri kila jina kwa kiswahili. Yafaa kumwuliza mmiliki - pengine kwa lugha yake ya nyumbani neno hilo lina maana tofauti na maana hiyo ya kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…