Jina hili lina linanikera sana

arusha eeh:confused2:

hata bukoba pale miembeni, pia arusha ukiacha hapo mianzini ambapo wameanza kuita bata mzinga ipo bar ya songambele pale sakina hata mwanza mitaa ya kilumba mkuu zipo nyingi
 
yaani kila ukienda sehemu utakutana na jina hili " MA.TA.KO. bar
Hivi hili ninini kinapelekea kuitwa hv?
Hata jina la bar linakuwa ni jingine ila duh linapachikwa hili jingine
mmh inanikera sana
Jamani kunani

Sex sales but this is too much..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…