jina kutokuonekana kwny website ya N.I.T

jina kutokuonekana kwny website ya N.I.T

amed

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
33
Reaction score
2
ni vp wadau.. Tatizo langu nimechaguliwa na tcu.. Chuo cha NIT ila jana wametoa majina yao kama chuo ila jina langu halipo sa naomba kujua inakuaje hapo an kipi nikifanye.. Mana wameandkia students selected to join degree in various programes first batch. Je kuna 2nd batch au vp?
 
subiri 2nd batch,kama tcu wamekuchagua upo.mi nilitokewa na tatizo la admision nkaanza panic lakn nkatulia hatimae nkakuta mambo yapo sawa
 
ok ndg wanaweza kutoa baada ya mda gan labda?
 
Hiyo ni first batch, nadhani hata wewe jina lako pia lilitoka katika watu waliokosa vyuo hatua ya kwanza yaliyotolewa na tcu. maana wote waliopata vyuo hatua ya kwanza ya tcu ndio hao majina yao yalipelekwa vyuoni na kuwa firrst batch. hivyo subiria second batch jina lako litatoka tu. vilevile kama una haraka na admission letter unaweza kwenda chuoni moja kwa moja kwani tayari hata majina ya second batch yameishafika vyuoni.
 
wamagori.. Nashukuru kwa maelezo yako mazur..
 
Back
Top Bottom