Hiyo ni first batch, nadhani hata wewe jina lako pia lilitoka katika watu waliokosa vyuo hatua ya kwanza yaliyotolewa na tcu. maana wote waliopata vyuo hatua ya kwanza ya tcu ndio hao majina yao yalipelekwa vyuoni na kuwa firrst batch. hivyo subiria second batch jina lako litatoka tu. vilevile kama una haraka na admission letter unaweza kwenda chuoni moja kwa moja kwani tayari hata majina ya second batch yameishafika vyuoni.